Simba Sports Club
News

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena

20 Sep 2023

Mazoezi hayo yameongozwa na kocha mkuu, Roberto Oliviera 'Robertinho' pamoja na wasaidizi wake wa benchi la ufundi.

Wachezaji wamejitahidi kuonyesha jitihada na uwezo mkubwa mazoezini ili kulishawishi benchi la ufundi kuwapa nafasi katika mchezo wa kesho.

Advertisement

Tunafahamu utakuwa mchezo mgumu kutokana na ubora wa Coastal na tunawaheshimu lakini nasi tumejipanga kikamilifu kuhakikisha tunapata alama zote tatu nyumbani.

Back to homepage
Share this story