Katika mazoezi hayo ambayo yameongozwa na Kocha Mkuu Fadlu Davids hakuna mchezaji aliyepata maumivu ambayo yatamfanya kuukosa mchezo wa kesho.
Tunajua utakuwa mchezo mgumu lakini tumejipanga kuhakikisha tunapata ushindi katika Uwanja wa nyumbani.