Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo na wapo kwenye hali nzuri huku morali yao ikiwa juu kuhakikisha alama tatu muhimu zinapatikana.
Mchezo huo ni muhimu kwetu ambao malengo yake ni kupatikana kwa alama tatu utapigwa katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo saa moja usiku.
Advertisement
Tunafahamu utakuwa mchezo mgumu kutokana na ubora wa wapinzani lakini tumejipanga na tupo tayari kuwakabili.