Taarifa ya daktari inasema hakuna mchezaji aliyepata majeraha kwenye mazoezi ya leo ambayo yatamfanya kukosa mchezo wa kesho.
Wachezaji wote wameshiriki kikamilifu mazoezi hayo yaliyoongozwa na Kocha Fadlu Davids huku morali yao ikiwa juu.
Advertisement
Tutaingia katika mchezo wa kesho kwa lengo la kuhakikisha tunapambana na kushinda mchezo ili tuingie fainali.