Simba Sports Club
News

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena

29 Dec 2022 By simbasc 267 views
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi Tanzania Prisons utakaopigiwa kesho saa 12:15 jioni. Mazoezi hayo yamefanyika leo jioni katika Uwanja wetu wa Mo Simba Arena. Tunajua mchezo utakuwa mgumu na tunaiheshimu Tanzania Prisons tunategemea kupata ushindani mkubwa lakini tumejiandaa vizuri kupata ushindi.
Advertisement
Back to homepage
Share this story