Simba Sports Club
News

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mkwakwani

8 Mar 2024 By simbasc 232 views
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union utakaopigwa saa 12 jioni. Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo kikamilifu na hakuna ambaye amepata maumivu ambayo yatamfanya kuukosa mchezo wa kesho. Tunauchukulia mchezo wa kesho kwa umuhimu mkubwa na lengo letu ni kuhakikisha tunashinda na kuchukua pointi zote tatu. Coastal ni timu bora na ipo kwenye kiwango kizuri kwa sasa lakini tumejipanga kuhakikisha tunashinda.
Advertisement
Back to homepage
Share this story