Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo kwa asilimia 100 na wanaonekana wapo tayari kuipigania timu kupata ushindi Jumamosi.
Morali za wachezaji zipo juu na kila mmoja yupo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho na lengo ni kuhakikisha tunapata ushindi.
Advertisement
Tunawaheshimu Wydad na tunajua itakuwa mechi ngumu lakini tupo tayari kupambana kwa dakika zote 90.