Simba Sports Club
News

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mao Tse-tung

2 Jan 2023

Kesho saa 2:15 usiku tutashuka katika Uwanja wa Amani kuanza kutetea taji letu ambalo tulilitwaa mwaka jana.

Kikosi kimewasili hapa Zanzibar leo jioni ambapo wachezaji walipewa muda wa kupumzika kabla ya kwenda mazoezini kujiandaa na Mlandege.

Advertisement

Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo na wapo kwenye hali nzuri tayari kwa mchezo wa kesho.

Back to homepage
Share this story