Wachezaji wote 21 waliopo kikosini wameshiriki mazoezi hayo na wapo tayari kwa ajili ya kupambana ili kupatikana kwa alama tatu ugenini.
Pamoja na kucheza ugenini huku tukitarajia kupata upinzani mkubwa lakini malengo yetu ni kuhakikisha tunapata matokeo chanya.
Advertisement
Mchezo wetu dhidi ya Stade Malien utapigwa katika Uwanja wa 26 saa moja usiku kwa muda wa Tanzania ambapo nchini Mali itakuwa saa 10 jioni.