Simba Sports Club
News Videos

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Lake Tanganyika

2 Feb 2024

Wachezaji wote 25 tuliosafiri nao wameshiriki mazoezi hayo na hakuna yoyote ambaye amepata maumivu ambayo yanaweza kumfanya kuukosa mchezo wa kesho.

Tunafahamu utakuwa mchezo mgumu kutokana na ubora wa wapinzani hasa ukizingatia wapo nyumbani lakini tumejipanga kuhakikisha tunapata pointi zote tatu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story