Simba Sports Club
News

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Lake Tanganyika

31 Oct 2024

Wachezaji wote tuliosafiri nao wamefanya mazoezi ya mwisho na wapo tayari kwa mchezo wa kesho.

Katika mazoezi hayo ambayo yameongozwa na Kocha Mkuu Fadlu Davids hakuna mchezaji aliyepata maumivu ambayo yatamfanya kuukosa mchezo wa kesho.

Advertisement

Tunajua utakuwa mchezo mgumu lakini tumejipanga kuhakikisha tunapata ushindi katika Uwanja wa ugenini.

Back to homepage
Share this story