Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo na wameonekana morali ipo juu na wapo tayari kuipambania timu ili kutinga hatua ya makundi.
Tunafahamu utakuwa mchezo mgumu lakini tutaingia tukiwa na lengo moja la kuhakikisha tunafuzu hatua ya makundi.