Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo na hakuna ambaye amepata maumivu au kutumikia adhabu ya kadi ambayo itamfanya kuukosa mchezo wa kesho.
Mchezo wa kesho ni muhimu kwetu na tunahitaji kushinda ili kuweza kufuzu na kutinga nusu fainali.