Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo na hakuna aliyepata maumivu ambayo yatafamfanya kuukosa mchezo wa kesho.
Morali za wachezaji zipo juu na kila mmoja ameonyesha uwezo mkubwa mazoezini ili kuisadia timu kupata ushindi kwenye mchezo wa kesho.