Simba Sports Club
News

Timu yafanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na Mbeya City kesho

16 Jan 2022

Wachezaji wote waliosafiri wamefanya mazoezi hayo na hakuna yoyote ambaye tutamkosa kutokana na majeruhi au adhabu ya kadi.

Morali ya wachezaji ipo juu na kila mmoja amejitahidi kufanya vizuri mazoezini ili kesho apate nafasi ya kucheza.

Advertisement

Mchezo wetu utaanza saa 10 jioni katika uwanja huo huo wa Sokoine.

Back to homepage
Share this story