Simba Sports Club
News

Timu yafanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na Ihefu

9 Apr 2023

Wachezaji wote tuliosafiri nao wameshiriki mazoezi hayo na hakuna aliyepata maumivu ambayo yatamfanya kuukosa mchezo wa kesho.

Morali ya wachezaji ipo juu na tutaingia uwanjani kwa lengo moja la kupambana kuhakikisha tunapata pointi zote tatu muhimu ugenini.

Advertisement

Ingawa tumetoka kuwafunga Ihefu siku mbili zilizopita kwenye michuano ya Azam Sports Federation Cup hatutawadharau na tutachukua tahadhari zote kuwakabili.

Back to homepage
Share this story