Simba Sports Club
News

Timu yafanya Mazoezi ya mwisho kujiandaa na ES Tunis Keshoo

23 Jan 2026

Wachezaji wote 22 tuliosafiri nao wameshiriki mazoezi hayo na wapo kwenye hali nzuri tayari kwa mchezo huo ambao tunategemea utakuwa mgumu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story