Simba Sports Club
News

Timu yafanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na Coastal Kesho

8 Jun 2023

Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo na jambo la kumshukuru Mungu hakuna yoyote ambaye amepata majeraha yatakayomfanya kuukosa mchezo wa kesho.

Malengo yetu ni kuhakikisha tunashinda mchezo huo ili kuwapa furaha mashabiki wetu.

Advertisement

Mchezo wetu dhidi ya Coastal kesho utapigwa katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam saa 9:30 Alasiri.

Back to homepage
Share this story