Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo chini ya Kocha Mkuu Steve Barker na hakuna aliyepata maumivu ambayo yatafamfanya kuukosa mchezo wa kesho.
Morali za wachezaji zipo juu na kila mmoja ameonyesha uwezo mkubwa kitu ambacho kinachoonyesha tutapata matokeo chanya.
Advertisement
Kwa sasa nguvu zetu tumezielekeza katika Ligi Kuu ya NBC pamoja na CRDB Federation Cup baada ya kutofanya vizuri katika Ligi ya Mabingwa Afrika.