Tunategemea utakuwa mchezo mgumu kutokana na ubora walionao wapinzani wetu Kagera Sugar hasa ukizingatia wapo nyumbani.
Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo na hakuna aliyepata maumivu au majeraha ambayo yatamfanya kuukosa mchezo wa kesho.
Advertisement
Malengo yetu kwa sasa ni kuhakikisha tunashinda kila mchezo ili kuweza kutwaa taji la ubingwa msimu huu.