Simba Sports Club
News

Timu yafanya Mazoezi ya mwisho kabla ya kusafiri kuelekea Angola

3 Feb 2026

Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo na wapo tayari kwa safari ambapo sasa atapitia nchini Ethiopia.

Kiungo mshambuliaji mpya, Inno Jospin Loemba ni miongoni mwa nyota walioshiriki mazoezi na ni miongoni mwa nyota 23 watakaosafiri kesho.

Advertisement
Back to homepage
Share this story