Simba Sports Club
News

Timu yafanya Mazoezi ya mwisho Jamhuri

24 Feb 2026

Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo na wapo kwenye hali nzuri na kila mmoja yupo tayari kwa mchezo wa kesho.

Tunategemea kupata upinzani mkubwa kutoka kwa Dodoma lakini tumejiandaa vizuri kuwakabili lengo likiwa kupata alama tatu.

Advertisement

Katika mazoezi hayo ambayo yameongozwa na Kocha Mkuu Steve Barker hakuna mchezaji aliyepata maumivu ambayo yatafamfanya kuukosa mchezo wa kesho.

Back to homepage
Share this story