Wachezaji wote wameonekana kuonyesha jitihada kubwa wakiwa na ari na morali ya hali juu tayari kwa mchezo huo ambao ni muhimu kwetu kupata alama tatu.
Kocha mkuu Steve Barker na wasaidizi wake wamekuwa wakiwasisitiza wachezaji kuwa watulivu muda wote na kutumia vizuri nafasi tutakazopata.
Advertisement
Mchezo wa kesho ni umuhimu kwetu na tumejipanga kuhakikisha kupata ushindi nyumbani ingawa tunafahamu haitakuwa kazi rahisi.