Wachezaji wote 22 tuliosafiri nao wameshiriki mazoezi hayo kikamilifu na hakuna aliyepata maumivu ambayo yatamfanya kuukosa mchezo wa kesho.
Tutaingia katika mchezo wa kesho kwa tahadhari zote na kuwaheshimu Pamba Jiji kwakuwa malengo yetu ni kuhakikisha tunashinda na kuchukua pointi zote tatu.