Simba Sports Club
News

Timu yafanya Mazoezi ya kwanza Tunisia

22 Jan 2026

Wachezaji wote 22 tuliosafiri nao wameshiriki mazoezi hayo na wapo kwenye hali nzuri tayari kwa mchezo huo utakaopigwa Jumamosi saa 1 usiku katika Uwanja wa Olympic Rades.

Kesho kikosi kitaendelea na mazoezi kwenye Uwanja huo huo kuzidi kujifua kwa ajili ya mchezo huo ambao tunahitaji kupata matokeo chanya.

Advertisement

Hali ya hewa ya Tunisia ni baridi kali ndio maana tumefika siku tatu kabla ya mchezo ili wachezaji wazoee na isiwe changamoto kubwa kwao.

Back to homepage
Share this story