Simba Sports Club
News

Timu yafanya Mazoezi ya kwanza chini ya Barker

30 Dec 2025

Barker ameongoza mazoezi hayo ya uwanjani kufuatia jana wachezaji kuanza mazoezi ya Gym ambayo yalisimamiwa na kocha msaidizi, Seleman Matola.

Mazoezi yataendelea tena kesho kabla ya timu kuelekea Zanzibar tayari kwa kuanza michuano ya Mapinduzi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story