Jana jioni kikosi kilifanya mazoezi ya utimamu wa mwili wa kukimbia uwanjani pole pole kwa muda kadhaa.
Wiki hii ya kwanza timu itafanya zaidi mazoezi ya utimamu wa mwili sababu wachezaji wametoka mapumziko.
Advertisement
Ili kocha Mkuu Fadlu Davis na wasaidizi wake waanze kufundisha mbinu lazima wachezaji wawe timamu kimwili na kiakili ndio maana wameanza na mazoezi hayo.