Simba Sports Club
News

Timu yafanya mazoezi ya asubuhi Malawi, kurejea Dar leo

11 Sep 2022

Baada ya mazoezi hayo wachezaji watampuzika kwa muda mchache kabla ya kuanza safari ya kurejea jijini Dar es Salaam saa saba mchana.

Baada ya kufika Dar es Salaam kikosi kitaanza maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons itakayopigwa Jumatano katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

Advertisement

Kikosi kinarejea kikiwa na ushindi muhimu wa mabao 2-0 ugenini ambao unatuweka kwenye mazingira mazuri ya kufuzu hatua inayofuata ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Back to homepage
Share this story