Asubuhi kikosi kimefanya mazoezi ya Gym ili kurejesha miili katika hali ya kawaida (recovery) baada ya mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii tuliocheza dhidi ya Yanga siku ya Jumapili.
Wachezaji wote tuliosafiri nao wameshiriki mazoezi hayo na wapo kwenye hali nzuri morali ipo juu tayari kuzipigania alama tatu.