Jana tuliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union kwahiyo wachezaji walitakiwa kufanya mazoezi ya utimamu ili kujiweka sawa kutokana na ratiba kubana.
Saa nane mchana kikosi kitaanza safari ya kurejea Dar es Salaam tayari kwa maandalizi ya mchezo wa Jumanne dhidi ya Singida Fountain Gate.
Advertisement
Kesho kikosi kitaendelea na program ya mazoezi kwa ajili ya mchezo wa Jumanne ambao utapigwa katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi.