Baada ya mazoezi hayo kikosi kitaanza safari ya kuelekea Singida kupitia Dodoma tayari kwa mchezo huo ambao tunategemea utakuwa mgumu.
Kikosi kitaondoka na wachezaji 23 ambao tunaamini watatupa alama tatu muhimu na kuendelea kubaki kileleni mwa msimamo.