Baada ya mazoezi hayo kikosi kitafanya taratibu za safari ya kuelekea Guinea tayari kwa mchezo huo ambao utapigwa Jumamosi saa moja usiku kwa saa za Tanzania.
Wachezaji wote isipokuwa Augustine Okrah wameshiriki mazoezi hayo na hakuna aliyepata majeraha ambayo yatamfanya kuikosa safari.