Simba Sports Club
News

Timu yafanya mazoezi Mo Arena

7 Nov 2023

Mazoezi hayo yameongozwa na kocha Daniel Cadena ambaye anakaimu nafasi ya kocha mkuu.

Baada ya kupata matokeo mabaya kwenye mchezo uliopita sasa tumejipanga kuhakikisha tunashinda siku ya Alhamisi ili kurejesha hali ya kujiamini kwa wachezaji.

Advertisement
Back to homepage
Share this story