Simba Sports Club
News

Timu yafanya Mazoezi kabla ya Kuifuata Pamba Jiji

17 Mar 2026

Baada ya mazoezi wachezaji wamepewa mapumziko na usiku wa leo kikosi kitaanza safari ya kuelekea jijini Mwanza tayari kwa mchezo huo.

Kikosi kitaondoka na wachezaji 22 benchi la ufundi pamoja na baadhi ya Viongozi kutoka kwenye Menejimenti.

Advertisement

Kesho jioni kikosi kitafanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa CCM Kirumba ambao utatumika kwa mchezo wetu wa Alhamisi.

Back to homepage
Share this story