Simba Sports Club
News

Timu yafanya Mazoezi Dodoma

20 Feb 2026

Timu iliwasili Dodoma mchana na wachezaji wakapata saa kadhaa za mapumziko na jioni wamefanya mazoezi ya kwanza.

Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo na wapo kwenye hali nzuri huku morali ikiwa juu kuhakikisha tunapata ushindi Jumapili.

Advertisement

Kesho kikosi kitafanya mazoezi ya mwisho kabla ya kushuka dimbani kuikabili Prisons Jumapili.

Back to homepage
Share this story