Simba Sports Club
News Videos

Timu yafanya mazoezi Benjamin Mkapa

1 Mar 2024

Kikosi kimefanya mazoezi usiku muda ambao mchezo wetu utapigwa ili kuwaweka wachezaji wetu katika hali nzuri.

Wachezaji wote wameshiriki mazoezi haya kikamilifu na morali ipo juu tayari kwa mchezo huo ambao tunahitaji kushinda ili kutinga robo fainali.

Advertisement

Tunawaomba mashabiki wetu kuendelea kukata tiketi ili Jumamosi tuujaze uwanja wa Mkapa na tutimize lengo letu.

Back to homepage
Share this story