Timu imeondoka Singida Asubuhi kwa basi na kuwasili Arusha mchana na jioni wachezaji wamefanya mazoezi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo huo.
Wachezaji wote 25 waliopo kikosini wameshiriki mazoezi hayo na wapo kwenye hali nzuri.