Simba Sports Club
News

Timu yaendelea na mazoezi Suez Canal

3 Aug 2025

Wachezaji 11 ambao wamejiunga na wenzao leo mchana kutoka jijini Dar es Salaam nao wameshiriki kikamilifu mazoezi hayo.

Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo na wapo kwenye hali nzuri na kila mmoja akionekana kufanya jitihada za kutafuta nafasi ya kutaka kuaminiwa.

Advertisement

Timu itaendelea kufanya mazoezi katika Uwanja wa Canal Suez kwa siku 28 kabla ya kurejea nchini kuanza msimu mpya wa mashindano.

Back to homepage
Share this story