Kikosi kimeingia kambini juzi Jumatano mara baada ya kurejea kutoka jijini Mbeya tulipocheza na Ihefu FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo na yamemalizika salama hakuna yoyote ambaye amepata majeraha.
Advertisement
Tunajua itakuwa mechi ngumu lakini tumejipanga kikamilifu kuhakikisha tunafanya kila linalowezekana kupata alama zote tatu.