Kikosi kinaendelea na programu ya mazoezi mara mbili kwa siku asubuhi na jioni.
Katika mazoezi ya asubuhi kikosi kimefanya Uwanjani ambapo wachezaji walifundishwa mbinu mbalimbali kutoka kwa Kocha Mkuu Fadlu Davids.
Advertisement
Na jioni wachezaji walifanya mazoezi ya Gym ikiwa ni kuhakikisha wanakuwa na stamina baada ya kutoka kwenye mapumziko ya kumalizika kwa msimu.