Wachezaji wameshiriki mazoezi hayo kikamilifu na morali zao zipo juu wakionekana kuelewa mafunzo wanayopewa na walimu wao.
Tumeanza mazoezi mapema kujiandaa na mchezo huo kwakuwa lengo letu ni kuhakikisha tunabaki na alama zote tatu nyumbani dhidi ya ASEC.