Simba Sports Club
News

Timu yaendelea na mazoezi kujiandaa na mzunguko wa pili

13 Dec 2022

Mazoezi hayo yameanza jana katika Uwanja wetu Mo Simba Arena na wachezaji wote wameshiriki hata wale waliokuwa wanasumbuliwa na majeruhi.

Disemba 18 tutashuka katika Uwanja wa CCM Kirumba kuwakabili Geita Gold na siku tatu baadaye tutaelekea Kaitaba kuikabili Kagera Sugar.

Advertisement

Disemba 26 tutarudi tena CCM Kirumba kukamilisha mechi za Kanda ya Ziwa kwa kucheza na KMC.

Back to homepage
Share this story