Simba Sports Club
News

Timu yaendelea mazoezi nchini Sudan

29 Aug 2022

Kikosi kimefanya mazoezi jioni katika Uwanja Kobar kuwaweka wachezaji sawa kuivutia kasi Al Hilal katika mchezo utakaopigiwa Jumatano.

Nahodha John Bocco na kiungo mkabaji Sadio Kanoute wamefanya mazoezi pamoja na wenzao baada ya kujiunga kutokana na kuchelewa.

Advertisement

Kesho kikosi kitafanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo huo ambao utakuwa wa mwisho kabla ya timu kurejea jijini Dar es Salaam (lini?)

Back to homepage
Share this story