Simba Sports Club
News

Timu yaanza safari ya kurejea nyumbani

8 Feb 2026

Kikosi kitapitia Ethiopia kabla ya kuunganisha mpaka Dar es Salaam ambapo kinatarajia kuwasili saa tisa alfajiri.

Baada ya kufika nchini kikosi kitaingia kambini moja kwa moja kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya KMC utakaopigwa Jumatano saa moja usiku katika dimba la KMC Complex.

Advertisement
Back to homepage
Share this story