Simba Sports Club
News

Timu yaanza safari ya kurejea nyumbani

29 Apr 2023 By simbasc 145 views
Baada ya mchezo wa jana dhidi ya Wydad Casablanca kikosi chetu kimeanza safari ya kurejea nyumbani kuendelea na ratiba nyingine. Kikosi kimewasili Uwanja wa Ndege wa Casablanca kuanza safari ya kurejea ambapo kitapitia Doha Qatar kabla ya kurudi nyumbani. Baada ya safari hiyo ndefu kikosi kinatarajia kuwasili jijini Dar es Salaam kesho asubuhi.
Advertisement
Back to homepage
Share this story