Kikosi kitapitia Istanbul kabla ya kuanzasafari ya kurudi nyumbani.
Kikosi kitawasili jijini Dar es Salaam kesho Jumatano saa tisa alfajiri.
Advertisement
Tumekuwa na wiki tatu nzuri za maandalizi ya msimu (Pre Season) nchini Uturuki ambazo tunaamini zitakuwa msaada kuelekea kuanza msimu mpya wa mashindano 2023-24.