Simba Sports Club
News

Timu yaanza safari ya kuelekea Dodoma

3 Feb 2025

Kabla ya kuanza safari ya Dodoma kikosi kimefanya mazoezi ya utimamu wa mwili asubuhi ili kujiweka sawa.

Kikosi kikifika Dodoma kitaweka kambi ya siku mbili kabla ya kuanza safari ya kuelekea Arusha kwa ajili ya mchezo unaofuata dhidi ya Fountain Gate FC.

Advertisement

Mchezo dhidi ya Fountain Gate utapigwa Alhamisi Februari 6, katika Uwanja Tanzanite Kwaraa mkoani Manyara

Back to homepage
Share this story