Kikosi kimeondoka na wachezaji 22 tayari kwa mchezo wa kesho ambao utakuwa wa kwanza wa Ligi Kuu kupigwa katika ardhi ya Zanzibar.
Timu imeondoka ikiwa inafahamu tunaenda kukutana na timu imara yenye wachezaji bora lakini tupo tayari kwa changamoto yoyote tutakayokutana nayo.
Advertisement
Leo usiku kikosi kitafanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa New Amaan Complex kujiweka sawa kabla ya mchezo wenyewe.