Kikosi kimewasili alfajiri Misri katika mji wa Ismailia ambapo tunafanya mazoezi katika Hoteli ya Mercure Ismailia Forsan Island
Timu imesafiri na wachezaji 19 ambapo tunatarajia wataongezeka baada ya taratibu za safiri kukamilika
Advertisement
Kikosi kitakuwa hapa kwa takribani wiki tatu ambapo tunaamini tutakapo rejea nyumbani tutakuwa tayari kwa msimu mpya.