Simba Sports Club
News

Timu yaanza mazoezi kujiandaa na Raja

24 Mar 2023

Mchezo huo utapigwa katika Jiji la Casablanca, Machi 31 saa nne usiku kwa saa za Morocco ambapo hapa nyumbani itakuwa saa saba usiku, Aprili Mosi.

Wachezaji wote ambao hawapo kwenye majukumu ya timu za taifa wameshiriki mazoezi hayo chini ya kocha mkuu Roberto Oliviera 'Robertinho' na wasaidizi wake.

Advertisement

Nyota waliokuwa kwenye timu za taifa nao wataungana na wenzao mara tu watakapomaliza majukumu yao.

Back to homepage
Share this story